psychezone_international1
psychezone_international1
Welcome psychezone International.
We Offer to you the following services:-

1. Counselling & psychotherapy
2. Business Consultation
3. Therapeutic treatment
4. Mentorship & Life Coaching
5. Life hack & Mind programming.

We provide both online & offline service at affordable pricetags/rates.

Karibu psychezone international, Sisi tunatoa Ushauri katika Mambo yafuatayo:-

1. Saikolojia
2. Biashara
3. Utimamu wa mwili
4. Usimamizi & Uongozi
5. Pamoja na Afya ya akili yako


Tunapatikana Mkabala na Ubungo plaza.
(We are located@Sideby Ubungo plaza)

We are always available to help you.

__________________________________________

BELOW IS OUR OFFICIAL RATECARD

Gharama za Ushauri zipo Kama ifuatavyo:

1. Ushauri binafsi Tshs 30,000 ( 14.USD)
(Online kwa Saa 1.½ /Online 1½ hours)
🏬 Ofisini Ushauri ni @50,000/- kwa Saa.

(b) Foreigners @25.USD/Hr Online
🏬 Office charges @40.UDS/Hr.

2. UShauri wa Kikundi (Group counselling)
( 100,000 Tshs kwa Saa ( 50.USD/Hr.)

(b) Foreigners G.C @ 100.USD/Hr

3. Huduma ya Ushauri kwa wiki (weekly)
( 170,000 mtu mmoja/70.USD/ I.C)

(b) Foreigners @ 140.USD/Hr

4. Huduma ya Wiki Kikundi/Group weekly.
( 700,000/- Tshs /300.USD / G.C)

(b) Foreign Companies @600.USD

5. Taasisi na Makumpuni/Corporate.
-Nidhamu kazini/Working ethics
-Customer care/Huduma Bora
-Management Skills/Usimamizi
-Motivation /Hamasa na Uamsho
-Stress management
-Time management etc.

Gharama za kuwashauri Wafanyakazi kwa Siku Moja zinaanzia Laki tano (500,000/-) na kuendelea/ Sme’s & Corporate training fee charges price range from 200.USD for local Companies and 500.USD/HR For Foreign Companies & Above.


N:B Your mental health is more important than your financial freedom.

Kumbuka: Afya yako ya Akili ni muhimu sana kuliko Gharama.

WELCOME PSYCHEZONE INT.CO.LTD

“Your mental health is our responsibility”
(Afya yako ya Akili ni WAJIBU wetu”

BOOKING & APPOINTMENTS
Huduma zetu tunatoa kwa Njia ya Simu pamoja na Ofisini kulingana na Muda.
-
Endapo kama unahitaji huduma basi Unaweza kupiga namba ya huduma kwa wateja au ukatuma Ujumbe kwa Njia ya whatsapp.
-
Na Kama una swali lolote Basi wasiliana nasi kwa Namba za Simu Zifuatazo.


0755 256 039 /0676 694 570


With Best regards,
Thank you .